MAKALA: Taasisi nyingine za malezi ya watoto

By Dewji Blog, 1w ago

Katika makala iliyopita, nilichambua taasisi ya familia kama taasisis ya kwanza kabisa katika malezi na maadili bora ya mtoto. Nilieleza kwa undani jinsi wazazi na wanafamilia kwa ujumla walivyo na wajibu mkubwa wa kumtengeneza mtoto kabla taasisi nyingine hazijaonyesha mchango wao. Malezi na maadili ya watoto ni jambo linalohitaji ushirikiano wa taasisi mbalimbali ili mtoto akue katika maadili, nidhamu na hatimaye kuwa raia mwema kwa Taifa lake. Katika Makala hii nitaonyesha jinsi taasisi nyingine tofauti na familia zilivyo na nafasi kubwa ya kujenga maadili na malezi bora kwa watoto. Taasisi...

ZINAZOENDANA

Dk Shein kwanini hendi Congo (DRC) kwa Waafrika wenzake

3h ago

Elbattawi Jumapili, Januari 21, 2018 Part ll Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo Jumapili, 21/...

Mambo matano ya msingi ya kuzingatia ili kuwa na nidhamu ya muda kazini

11h ago

Mafanikio katika eneo lako la kazi, kwa kiasi kikubwa yanategemea matumizi ya muda ulionao kwa siku. ...

Breaking News: Jamatini Kumeingia Golo

1d ago

Asalamu aleikhum Warahmatullah Wabarakatuhu ndugu zangu Wazanzibari na Wapenda Mabadiliko muliomo Nda...

Wadau wajitokeza kumsaidia aliyeolewa na kaburi

3d ago

Makala mbili mfululizo za gazeti hili kuhusu Esther Marwa (45) mkazi wa Kijiji cha Kyambahi wilayani ...

MADHARA ya Upigaji Punyeto, na Namna ya Kuepuka

Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto.Puny...

Mambo Matatu Ya Kukusaidia Kuboresha Kipato Chako Kwa Uhakika

Msingi wa kujenga kipato kikubwa na hatimae kuwa huru kifedha huwa haupatikani kwa bahati mbaya. Msin...

Rwanda yaitoa jasho Nigeria huku Libya ikianza vema

5d ago

Michuano ya kwanza ya kutamatisha makundi katika makala ya tano ya michuano ya CHAN kwa wachezaji wan...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek