MAHAKAMANI: Ahukumiwa miaka 3 jela kwa kumtukana na kumtishia Mkuu wa Wilaya

By Millard Ayo, 9w ago

Mahakama ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora,  imemhukumu mkazi wa mtaa wa barabara ya Mbutu, Mohamed Ahmed (54) kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumtishia na kumtolea lugha ya matusi Mkuu wa Wilaya ya Igunga, John Mwaipopo. Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elimajidi Kweyamba, amedai mahakamani kuwa mshtakiwa, alitenda kosa hilo January […]

ZINAZOENDANA

Shilole na Uchebe wafunguka kuhusu ndoa kuvunjika

Msanii wa muziki bongo ambaye kwa sasa mjasiriamali anayehakikisha matumbo ya watu yanapata afya, Shi...

Simba out kimataifa

2h ago

Safari ya Simba kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika imeishia Misri baada ya kulazimisha sul...

MRISHO MPOTO AKOSHWA PROGRAMU YA UMILIKISHAJI ARDHI NCHINI,AKUTANA NA WANANCHI WALIOKABIDHIWA HATI ZAO

2h ago

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu kutokana na kuto...

Ndoto ya Simba yafia Misri

2h ago

Tumaini pekee la Simba kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ...

Mnyama Simba SC atolewa kiume na Waarabu wa Misri

2h ago

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeyaaga rasmi mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baa...

MAJI YENYE SUMU YAZUA BALAA!

DAR ES SALAAM: Maji yanayodaiwa kuwa na kemikali zenye sumu yanayotoka kwenye kiwanda kimoja cha sabu...

Tazama Live: Simba Vs Al Masry Hapa

 The post Tazama Live: Simba Vs Al Masry Hapa appeared first on Global Publishers.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek