Tunda Afichwa na Penzi la Mbunge Apangiwa Apartment

By Udaku Specially, 14w ago

BAADA ya Dishi Bovu kunasa ubuyu kwamba mwanadada, Tunda Sebastian kuwa anatoka na mbunge mmoja hivi anayemiliki hoteli ya kifahari jijini Dar na kumpangishia 'apartment' maeneo ya Tegeta, liliamua kutega antena zake ili kuweza kunasa kinachoendelea baina ya Tunda na mbunge huyo ambaye anawekwa kwenye mabano kwa kipindi hiki!Dishi Bovu kwa kuanza liliwachokonoa watu wa karibu wa mwanadada huyo ili waweze kuunguza picha ambapo baada ya kumpata shoga yake mmoja mzurimzuri ambaye huonekana na Tunda mara kwa mara kwenye sherehe za kiburudani (hakupenda tummulike tochi) hivi ndivyo ali...

ZINAZOENDANA

TANZANIA NA ISRAEL KUANGALIA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA SHERIA

5m ago

Na  Mwandishi MaalumTanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana men...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

13m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...

Siasa za hofu na hofu za siasa

59m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Ni Singida United Vs Mtibwa Sugar fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) 

1h ago

Klabu ya Singida United imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

SINGIDA UNITED YATINGA FAINALI FA CUP,SASA USO KWA USO NA MTIBWA SUGAR JIJINI ARUSHA JUNI 2,2018

KLABU ya Singida United imeungana na Mtibwa Sugar kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kui...

Tangazo la Ajira Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum SMZ

2h ago

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek