Airtel Yamjibu Waziri wa Fedha Sakata la Ubinafsishaji wa TTCL

By Udaku Specially, 14w ago

Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki kampuni ya Airtel Tanzania, imeeleza kusikitishwa kwake na taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wake iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango juzi.Taarifa ya Bharti iliyotolewa jana imeeleza kuwa uwekezaji wake ulifuata na kuzingatia sheria na taratibu zote za nchi kabla ya baraka za Serikali ya Tanzania.Juzi, Waziri Mpango aliwasilisha kwa Rais John Magufuli taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wa kampuni ya simu ya Airtel na kueleza jinsi sheria na taratibu zilivyokiukwa katika ubinafsishaji wake.Kutokana na ukiukw...

ZINAZOENDANA

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

12m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...

Tangazo la Ajira Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum SMZ

2h ago

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...

Rais Magufuli Aitaka Bodi ya NMB kuangalia Upya Gawiwo Linalotolewa kwa Serikali

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Bodi ya National Mi...

Video: Rais Magufuli awataka viongozi wastaafu wajifunze hili kutoka kwa Pinda

2h ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka baadhi ya viongozi kujif...

Fatuma Karume - asema TLS hawezi kudhibitiwa

2h ago

Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume Chanzo: Jamhuri Media ‘Online TV...

Mpango wa Marekani kutaka kujitoa kwenye mkataba wa Nyuklia,Rais wa Ufaransa aonya kutofanya hivyo kwa sasa

3h ago

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemtaka rais wa Marekani Donald Trump kutojitoa kwenye mkataba wa n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek