Baada ya Kuonyesha Mjengo wa Tv, Radio Sasa Diamond Aweka Picha ya Mnara wa Radio ya WCB

By Udaku Specially, 6d ago

Baada ya kutuonesha mjengo mpya ambapo ndio zitakuwa ofisi za radio ya Wasafi FM na Wasafi Tv  sasa CEO wa WCB Diamond Platnumz  leo January 12, 2018 amepost picha inayomuonesha yuko na Harmonize huku nyuma yao kukiwa na mnara mrefu ambao inawezekana ukawa ndiyo mnara wa radio tuliyo ahidiwa..Diamond amepost picha hiyo na kuandika Caption iliyosomeka...'€œWhat a Busy Day #Mnarani.... InshaAllah Mwenyez Mungu atujaalie sisi Pamoja nawe Mwaka 2018 Uwe Mwaka Mwema na Wamafanikio...Tuseme '€œAmeen'€ðŸ™ Cc @harmonize_tz'€ - Diamond

ZINAZOENDANA

Diamond Ameyasikia Aliyosema Zari Kuhusu Madale Kuitwa Gesti House....Ajibu Hivi

Diamond Platnumz azidi kuchukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya maneno yanayoendelea ka...

Zari Aendelea Kuteswa na Mapenzi Aamuuliza Diamond '€œMadale State Lodge au Guest house?

Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekenaTunda ...

VideoMPYA:Kwa mara nyingine tena Lava Lava kwenye '€œUtatulia'€

Msanii Lava Lava kutoka record label ya WCB amezidi kuonyesha kipaji chake kwa kutoa nyimbo mpya kila...

VideoMPYA:Kwa mara nyingine tena Lava Lava kwenye '€œUtatulia'€

8h ago

Msanii Lava Lava kutoka record label ya WCB amezidi kuonyesha kipaji chake kwa kutoa nyimbo mpya kila...

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa kisa Diamond

11h ago

Leo ni Alhamis ya  January 18,2018  wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambap...

Dancer WCB mwenye miaka 19 ameeleza jinsi alivyopata shavu WCB

11h ago

Angel Nyigu ni Dancer wa msanii Queen Darleen ambaye yupo kwenye Record Label ya WCB ana umri wa miak...

Zari amuuliza Diamond '€œMadale state lodge au guest house?'€

11h ago

Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda...

Video: Wande Coal - Tur-Key Nla

11h ago

Msanii kutoka Nigeria, Wande Coal aka Black Diamond ameachia video ya ngoma yake mpya 'Tur-Key ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek