Hiki Hapa Alichokisema Manara Juu ya Mziki wa Aslay

By Udaku Specially, 14w ago

Msemaji wa club ya Simba Haji Manara ni mshabiki mkubwa wa muziki wa Bongofleva na mara nyingi utakuta akitoa maoni yake mbalimbali akizungumzia muziki wa bongofleva na wasanii wenyewe.Leo January 12 2018 ameandika na kuonyesha kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa muimbaji wa Bongofleva Aslay hapewi heshima anayostahili lakini ana uwezo mkubwa na anacho kipaji na ameandika kupitia instagram account yake.'€œSijawahi kuwa na mashaka juu ya uwezo wako,najua nchi inawataja sana wengine,bt nnapokusikiliza naona hujapewa heshma unayostahili...you are a Real Super Duper Star @aslayi...

ZINAZOENDANA

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ...

Kikosi cha Simba chafanya mazoezi  uwanja wa 'Highland' Morogoro kuelekea Kariakoo derby

3h ago

  Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi yake  hii leo uwanja wa ‘Highland’ m...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa ...

Wema Sepetu kuanza kujitetea kesi ya dawa za kulevya May 14

7h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii Wema Sepetu na wafanyakazi wake wanaokabiliwa na tuhum...

Mwadui vs SIMBA Muda: SAA 10:00 Jioni Uwanja: Kambarage

7h ago

SIMBA imecheza mechi 17 za Ligi Kuu sawa na dakika 1,530 ikiwa haijapoteza mchezo wowote, lakini Koch...

Mkubwa Fela- Wanaopenda Kuona Diamond na Ali Kiba Wana Ugomvi Wameumbuka

Sio jambo la siri kuwa Wasanii wakubwa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na Ali Kiba hawaivi chungu kim...

Wema Sepetu Kakutwa na Kesi ya Kujibu.....Ataanza Kujitetea May 14

8h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii Wema Sepetu na wafanyakazi wake wanaokabiliwa na tuhum...

Tetesi: Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

Tetesi za Kitaa zinasema Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek