Wema Sepetu Akana Penzi la Mahombi Asema ni Shemeji Tu

By Udaku Specially, 14w ago

STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu amefungukia madai ya kubanjuka kimapenzi na mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Mohombi Nzasi Moupondo na kusema kuwa ni shemeji yake na si vinginevyo.Akizungumza na Risasi Jumamosi Wema alisema kuwa, watu waache kutabiri vitu bila kujua ukweli wenyewe, kwani alipiga picha na mwanamuziki huyo kama shemeji yake kwa rafiki yake.'€œHivi kwa nini watu ni wepesi wa kuongea mambo? Mohombi ni shemeji yangu, kama watu wanataka kumjua mpenzi wangu watamjua hivi karibuni tu, kwani nimejipanga kumuanika 'soon' hivyo waache kuotea,'€ alisema W...

ZINAZOENDANA

Bora Masogange Alishahukumiwa- Wema Sepetu

Malkia wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, amefika tena mahakamani leo kusikiliza kesi inayomkabili ya matumi...

Wema Sepetu kuanza kujitetea kesi ya dawa za kulevya May 14

7h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii Wema Sepetu na wafanyakazi wake wanaokabiliwa na tuhum...

Wema Sepetu Afarajiwa, 'Kuitwa Mama sio Lazima Uzae'

Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameelezwa kitendo cha kutopata mtoto hadi sasa kisimkatishe tamaa...

Girl Power :: Maznat Bridal Amfariji Wema Sepetu '€Kuitwa Mama Sio lazima uzae

Kuitwa mama siyo lazima uzae. Ukifikia umri tu wa kuitwa aunt, mama mdogo, shangazi, mama mkubwa ina ...

''Kuitwa Mama Sio lazima uzae '' Mjasiriamali Maznatbridal Ampa Maneno ya faraja Wema Sepetu

Hakuna mtu ambaye hajui kwamba Wema Sepetu anapenda sana na kutamani kuitwa Mama,amekua aki struggle ...

Wema ana kesi ya kujibu

8h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuona malkia wa Bongo Movie na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na ...

Mahakama Yamtaka Wema Sepetu Kujibu Kesi Yake Ya Madawa Ya Kulevya

Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu amezidi kuwa katika wakati mgumu kwani kesi yake ya madawa ya ku...

Wema Sepetu Kakutwa na Kesi ya Kujibu.....Ataanza Kujitetea May 14

8h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii Wema Sepetu na wafanyakazi wake wanaokabiliwa na tuhum...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek