Msanii wa muziki Bongo, Lava Lava amefunguka iwapo anaweza kufanya cover ya ngoma yoyote ya msanii Alikiba.Muimbaji huyo kutoka label ya WCB ameiambia The Playlist ya Times Fm kwa sasa bado hajafikiria hilo ila Alikiba ni msanii ambaye anajifunza mengi mazuri kutoka kwake.'€œKwa sasa hivi siwezi kusema, unajua mpaka kufanya cover ya msanii inabidi huo wimbo uwe unaufuatilia, unajua kufanya cover ni ku-present kile ambacho amekifanya lakini kukiboresha zaidi,'€ amesema.Utakumbuka Lala Lava alishafanya cover ya ngoma ya Diamond inayokwenda kwa jina la Utanipenda.Alipoulizwa ni kitu gani...
Baada ya msanii Alikiba kuoa, maneno mengi na maswali yamekuwa yakielekezwa kwa mrembo Jokate Mwegelo...
Kifo cha Video Vixen na msanii wa Bongo movie Agnes Gerald maarufu kama Masogange kimewagusa wengi ha...
Sio jambo la siri kuwa Wasanii wakubwa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na Ali Kiba hawaivi chungu kim...
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, MC Pilipili amefunguka ishu ya kukutanisha na mchekeshaji maaru...
Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba naye ameaga ukapera rasmi hapo jana April 22, 2018.Abdu Kiba ameoa z...
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, MC Pilipili amefunguka ishu ya kukutanisha na mchekeshaji maaruf...
Hili tukio limetoa jana April 222 kwenye kuuaga mwili wa marehemu Agness Gerald 'Mas...
MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza kwenye Viwanja vya Leaders Club kumuaga aliyekuwa mpambaji video z...