Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity.Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, Olamide, Wizkid, 2Baba (2face) wote kutoka Nigeria na Sarkodie, Shatta Wale kutoka Ghana pamoja na Navio kutoka Uganda.Diamond ndio msanii pekee kutoka Tanzania na Afrika mashariki kushinda katika tuzo hizo.Wasanii wengine wa Tanzania walikuwa wakiwania tuzo hizo ni Vanessa Mdee katika kipengele cha 'Best Female MVP' ambapo alichuana na wasanii kama Tiwa Savage, Ni...
Masogange ameweza kuwakutanisha washindani wawili wa soko la muziki wa Bongo Fleva, nao si wengine ni...
Msanii wa muziki wa rap kutoka nchini Kenya, Mwakima Elisha a.k.a Elycent amezungumzia mabadiliko ya ...
Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ...
Baada ya msanii Alikiba kuoa, maneno mengi na maswali yamekuwa yakielekezwa kwa mrembo Jokate Mwegelo...
Kifo cha Video Vixen na msanii wa Bongo movie Agnes Gerald maarufu kama Masogange kimewagusa wengi ha...
Sio jambo la siri kuwa Wasanii wakubwa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na Ali Kiba hawaivi chungu kim...
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, MC Pilipili amefunguka ishu ya kukutanisha na mchekeshaji maaru...
Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba naye ameaga ukapera rasmi hapo jana April 22, 2018.Abdu Kiba ameoa z...