Khaligraph Jones na Timmy Tdat waongea kuhusu 'Kasayole'

By Bongo 5, 1w ago

Wasanii kutoka nchini Kenya Khaligraph Jones na Timmy Tdat na wameongea kuhusu wimbo wao mpya ‘Kasayole’ ambao ameshirikiana. Akiongea na Bongo5 Timmy amesema, “Kasayole tunasherehekea wapi tulipotoka. Tunataka kusema asante kwa mtaa ambao umetufanya sisi tulipo leo. Jones na mimi tulikuwa tunataka kufanya kazi pamoja na tukaingia studio na maajabu yakatokea.” Naye Khaligraph ameongeza kwa […]

ZINAZOENDANA

Wazazi wamfukuza mwalimu, waifunga shule na kurudi na watoto wao nyumbani....kisa?

6h ago

Leo January 22, 2018 nikusogezee  stori kutoka nchini Kenya katika jimbo la Samburu ambapo wazazi ...

Magongo: Malkia wa Telkom Kenya waendelea kusajili ushindi Accra

8h ago

Miamba Telkom Kenya wamepata ushindi wao wa tatu mfululizo katika magongo ya Klabu Bingwa Afrika baad...

Wanaharakati waandamana Nairobi kutetea usawa wa jinsia

8h ago

Wanaharakati kutoka mashirika mbali mbali ya kijamii nchini Kenya wameandamana jijini Nairobi kuishin...

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho wa Mabalozi wa nchi sita

10h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Januari, 2018 ame...

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI SITA, IKULU JIJINI DAR

11h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Januari, 2018 ame...

Amber Lulu Alilia Penzi la Prezzo, Haamini Kama Amemwagwa.

16h ago

Msanii wa muziki anafanya vizuri katika muziki Amber Lulu ameonyeshwa kusikitishwa na habari zinazoen...

Diamond Platnumz: Nampenda Zari na Siwezi Kumuacha

18h ago

Mwanamuziki machachari wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka na kuda...

Amber Lulu Ashtuka Kumwagwa Na Prezzo Wa Kenya

VIDEO Queen anayekuja juu kwenye Bongo Fleva, Lulu Eugen 'Amber Lulu' ameshtuka kusikia ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek