bandari ya Dar es salaam yatangazwa kwenye muungano wa falme za kiarabu

By Issa Michuzi, 1w ago

Ujumbe wa chama cha wamiliki wa magari ya mizigo pamoja na chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA) upo Dubai katika ziara ya kuitangaza bandari ya Dar es salaam kwenye falme za kiarabu (UAE).Kwa mujibu wa Katibu Mkuu chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA) Bw. Tony Swai nia ya ziara hiyo ni kuipromote Bandari ya Dar es Salaam pamoja na  kukutana na wateja ambao wana-export na ku-import mizigo yao kuja na kutoka Kampala, Uganda.

ZINAZOENDANA

Sanchez atua Manchester United

5m ago

Zoezi la usajili kwa wachezaji Alexis Sanchez kwenda Manchester United na Henrikh Mkhitaryan kwenda A...

VIDEO: Ridhiwan akanusha '€œSio mimi niliesema CCM imeoza'€

23m ago

Jioni ya January 22 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kutokea kwenye ukurasa wa Insta...

Tusimhukumu Nyoso kwa historia yake

1h ago

Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso anashikiliwa na jeshi la polisi mijini bukoba kwa tuhuma za kumshambu...

Video: Mbunge Ridhiwani Kikwete akanusha ujumbe unaosambazwa mitandoni kumuhusu

1h ago

Mbunge wa Chalinze kupitia Chama cha Mpainduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha ujumbe unaosambazw...

Maulid Mtulia 'CCM' ajibu kuhusu mapingamizi aliyowekewa na CHADEMA

2h ago

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia leo January 22, 2018 amejibu kuhusiana na maping...

Maulid Mtulia 'CCM' ajibu kuhusu mapingamizi aliyowekewa na CHADEMA

2h ago

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia leo January 22, 2018 amejibu kuhusiana na maping...

Babu Seya na mwanae, Papii Kocha waanza safari mpya...!

2h ago

  MUIMBAJI nguli wa muziki wa dance, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya pamoja na mwanae, Papii...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek