NI URA AU AZAM TENA BINGWA MAPINDUZI CUP 2017 LEO?

By Full Shangwe Blog, 1w ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Leo Jumamosi itakuwa kibaruani kutetea taji lake la Kombe Mapinduzi, pale itakapokuwa ikipambana na URA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar saa 2.15 usiku. Mbali na kuwa mtihani wa kutetea ubingwa walioutwaa mwaka jana kwa kuifunga Simba bao 1-0, Azam FC …

ZINAZOENDANA

Tusimhukumu Nyoso kwa historia yake

1h ago

Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso anashikiliwa na jeshi la polisi mijini bukoba kwa tuhuma za kumshambu...

Tamasha la Busara kuenzi sanaa na utamaduni wa Mwafrika

3h ago

Na Mwandishi Wetu.Watanzania wametakiwa kuenzi sanaa na utamaduni waliona kwa ajili ya kizazi kijacho...

Haji Manara baada ya kusikia Juma Nyoso kampiga shabiki

3h ago

Jumatatu ya January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizon...

Balozi Seif atoa miezi mitatu kufanyiwa matengenezo Ukumbi wa Mikutano wa Salama.

3h ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  aliyevaa Miwani akifanya ziara ya kulikagu...

Juma Nyoso mikononi mwa polisi kwa kumtwanga shabiki

4h ago

Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso amejikuta akitiwa mbaroni na polisi mjini Bukoba kwa madai ya kumtwan...

Licha ya kumfunga, Bocco amnyoshea mikono Kaseja

5h ago

Nahodha wa klabu ya wekundu wa Msimbazi John Bocco amefunguka na kumwagia sifa mlinda mlango wa Kager...

Mchezaji Juma Nyosa Aingia Matatani Tena Baada ya Kumshushia Kipigo Shabiki Mpaka Kuzirai Leo

KAITABA: Jeshi la Polisi linamshikilia Beki wa Kati wa Klabu ya Kagera Sugar, Juma Nyoso kwa tuhuma z...

Juma Nyosso alivyokamatwa na polisi baada ya game ya Kagera vs Simba

5h ago

beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizoni baada ya kujikuta akika...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek