Diamond Ashinda Tuzo ya Best Male Africa Tuzo za Sound city MVP, Awakalisha Davido na Wizkid

By Udaku Specially, 5d ago

Mwaka 2018 umeanza vizuri kwa nyota wa Tanzania diamond platnumz baada ya usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria kulifanyika tuzo za Sound City MVP na kuudhuriwa na mastaa wote wa Nigeria.Diamond alikuwa kwenye kipengele cha Best Male act Africa akichuana na nguli wengine kutoka AfricaDavidoSarkodieOlamideWizkidNavioRuntownDiamond platnumz ( winner)2faceAmekuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kushinda tuzo hiyoBest female Act Africa akishinda Tiwa Savage kutoka NigeriaHata hovyo Davido aliibuka na tuzo 3 huku Wizkid akishinda 2Cassper Nyovest aliibuka na tuzo ya msanii bora wa Hip hop

ZINAZOENDANA

Mwenye uwezo wa kupambana na Diamond ni Alikiba - Edu Boy

9h ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Edu amefunguka undani wa mistari ambayo inapatikana katika ngoma y...

BABU TALE '€œHatuja nunua nyumba, Ugumu upo tutazungumza tukikaa na BASATA

12h ago

Baada ya Story ya mjengo mpya alioupost Diamond Platnumz kushika headlines katika mitandao na hata vi...

Davido atangaza kuweka hadharani majina ya watu anaowadai

13h ago

Unaweza ukasema ugumu wa mwezi Januari kwa upande wa uchumi ni kwa watu wakawaida lakini kumbe haipo ...

Ali Kiba Aibuka Kidedea Tena Amgaragaza Diamond na Wasanii Wengine Kibao

13h ago

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva Ali Kiba ameibuka kidedea kwa kutajwa kama msanii mwenyewe ushawis...

Boko Haram yaua watu tisa Nigeria

17h ago

Magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria, wamewauwa watu tisa katika mashambulizi mawili yaliyotelezwa Ka...

Billnass Ampa Uchebe Dhana za Kupambana na Nuh Mziwanda

17h ago

Msanii Billnas amemzawadia uchebe zawadi ya vifaa vya kufanyia mazoezi huku akimwambia kuwa amefanya ...

Wanaonyoa Kiduku Kusakwa na Polisi,Je hii Itahusu Wasanii.

17h ago

Ilianza kwa kuwafungua wasanii hasa wa kike wanaovaa vibaya ili kulinda maadili ya taifa na wale wote...

Alikiba, Diamond kuwania zaidi ya tuzo tatu Uganda, pia wapo Darassa na Ben Pol

17h ago

Wasanii wa Bongo Flava, Alikiba, Diamond, Darassa na Ben Pol wanatachuana na wasanii wengine wa Afrik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek