GUARDIOLA AWEKA REKODI YA KOCHA BORA LIGI KUU YA ENGLAND

By Full Shangwe Blog, 15w ago

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameweka rekodi mpya Ligi ya Premia kwa kutawazwa meneja bora wa mwezi mara nne mtawalia. Guardiola, 46, ametawazwa meneja bora wa mwezi Desemba baada ya klabu yake kushinda mechi sita ligini na kutoka sare mechi moja. Meneja wa Chelsea Antonio Conte alikuwa anashikilia rekodi ya awali, kwa kutawazwa meneja …

ZINAZOENDANA

Wenger: Nimelazimishwa kuondoka Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa tangazo lililofanywa kuhusu kuondoka kwake katika klab...

Wanasoka 20 wanaoingiza mkwanja mrefu duniani: Ronaldo ashushwa, EPL yatoa wachezaji wawili

8h ago

Ikiwa Ligi nyingi za mpira wa miguu duniani zinaelekea kumalizika kwa msimu wa mwaka 2017/18 tayari o...

Mkude : Point tatu za Yanga ni muhimu kwetu

9h ago

KIUNGO wa Sim­ba, Jonas Mkude amesema mechi yao na Yanga itakuwa ngumu lakini kwao muhimu ni point...

Singida United washushiwa rungu na Kamati ya Saa 72

9h ago

Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi (Kamati ya Saa 72) ya Bodi ya Ligi imeipiga faini klabu ya ...

LIVE SPOTI HAUSI: Uchambuzi Mechi ya Simba na Yanga

Ikumbukwe kuwa, Jumapili hii, Yanga itacheza na Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ukiwa ni mchezo wa ...

Pamoja na kutofunga, lakini Cr7 aweka rekodi mpya vs Bayern Munich

Hapo jana Real Madrid wameendeleza rekodi yao nzuri katika michuano ya Champions League baada ya kuic...

England watakwenda wapi? Chelsea nao wataathirikaje? A-Z sakata la uuzwaji wa Wembley

10h ago

Shahid Khan ndio jina ambalo siku ya leo limetawala vyombo vingi vya habari nchini Uingereza, jina la...

Wenger apangua kikosi kabla kuivaa Atletico

10h ago

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ametangaza saprize moja kali kabla ya mchezo wa Ligi Europa dhidi ya ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek