UCHAGUZI UBUNGE KUFANYIKA LEO BILA UKAWA

By Mtanzania, 1w ago

Na AGATHA CHARLES-DAR ES SALAAM UCHAGUZI wa marudio katika majimbo ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini na kata sita za Tanzania Bara, unafanyika leo bila upinzani baada ya vyama sita vya siasa kugoma kushiriki. Vyama hivyo ni Chadema, CUF, ACT- Wazalendo, NCCR-Mageuzi, NLD na Chaumma ambavyo vilijiengua kutokana na madai kuwa mazingira ya ushindani […]

ZINAZOENDANA

Wanachama 139 wa CHADEMA Wahamia CCM Simanjiro

4h ago

WANACHAMA 139 wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, wamejiunga na CCM na kupokelewa...

Maulid Mtulia wa CCM Awekewa Pingamizi

4h ago

Wakati kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kinondoni na Siha, zikianza kwa vitimbi,...

UVCCM: Mgombea wa CHADEMA Ni sawa na Bibi Harusi

5h ago

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, Kheri James amemfananisha Mgombea Ubunge, Jimbo...

Mbowe atoa onyo kali

5h ago

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefunguka na kuionya Tume y...

Wabunge Zanu PF wamvuruga Rais Mnangagwa

6h ago

Ripoti ambazo gazeti la The Standard lilipata mwishoni mwa wiki zinasema wabunge wengi wa Zanu PF wan...

Hakuna Kitu Kinaitwa UKAWA - Humphrey Polepole

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kuwa hakuna kitu ...

Mgombea Ubunge Kupitia CHADEMA Awatahadharisha CCM

10h ago

Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya CHADEMA, Salum Mwalimu amekitahadharisha Chama...

Sakata la Kiria Kudai Kupigwa na Mumewe: Haya Machozi Namlilia Mungu

10h ago

MWANAHARAKATI na masuala ya wanawake nchini Tanzania, Joyce Kiria ameweka hadharani kuwa mahusiano ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek