PLUIJM AITOLEA MACHO SIMBA

By Mtanzania, 1w ago

Na SAADA SALIM '€“ZANZIBAR KOCHA mkuu wa Singida United, Hans Pluijm, ameanza kuipigia hesabu timu ya Simba ya kuhakikisha inaing'oa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba iliyo kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 26, itamenyana na Singida United Januari 18, mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. […]

ZINAZOENDANA

Tusimhukumu Nyoso kwa historia yake

1h ago

Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso anashikiliwa na jeshi la polisi mijini bukoba kwa tuhuma za kumshambu...

Watalii Milioni 3 watembelea Afrika 2017

3h ago

Na Jumia Travel TanzaniaIdadi ya watalii duniani imekuwa kwa kiwango cha 7% mwaka 2017 na kufikia ida...

Haji Manara baada ya kusikia Juma Nyoso kampiga shabiki

3h ago

Jumatatu ya January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizon...

Juma Nyoso mikononi mwa polisi kwa kumtwanga shabiki

4h ago

Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso amejikuta akitiwa mbaroni na polisi mjini Bukoba kwa madai ya kumtwan...

Licha ya kumfunga, Bocco amnyoshea mikono Kaseja

5h ago

Nahodha wa klabu ya wekundu wa Msimbazi John Bocco amefunguka na kumwagia sifa mlinda mlango wa Kager...

Juma Nyosso alivyokamatwa na polisi baada ya game ya Kagera vs Simba

5h ago

beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizoni baada ya kujikuta akika...

VIDEO: Juma Nyosso alivyokamatwa na polisi baada ya game ya Kagera vs Simba

6h ago

January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizoni baada ya kujikuta a...

Simba yaichapa Kagera Sugar yakaa kileleni

6h ago

Vinara hao wa Ligi Kuu wamelipiza kisasi cha kufungwa na Kagera Sugar

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek