Neymar sasa ni Neymoney, paundi milioni 357 kumpeleka Madrid

By Bongo 5, 14w ago

Aliyekuwa mchezaji wa Barcelona anayekipiga kwa matajiri wa Ufaransa klabu ya Paris Saint-Germain inayomilikiwa na mfanyabiashara kutoka Falme za kiarabu, Sheikh Nasser bin Ghanim Al-Khela¯fi, Neymar Jr huwenda akatimkia Santiago Bernabeu na kufanikiwa kuvunja rekodi aliyoiweka ya usajili wa paundi milioni 200 wakati alipotua katika timu hiyo. Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez huwenda akamsajili […]

ZINAZOENDANA

Jacob Zuma atangaza ndoa na binti wa miaka 24

5m ago

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ameushangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia...

Rais Magufuli: Vikwazo ni Vingi Lakini Nitaendelea kuchapa kazi kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania

23m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa anajua wapo watakaotum...

Israel Yampongeza Rais Magufuli

31m ago

Jonas Kamaleki- MAELEZOSerikali ya Israel imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. J...

Rais Magufuli Alivyozindua tawi la NMB Kambarage lililopo Dodoma

41m ago

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amezindua ofisi na matawi mawili ya benki ya NMB Tanzania ambayo imepew...

RAIS MAGUFULI AUFAGILIA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA UWEKEZAJI WENYE TIJA DODOMA

47m ago

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, DodomaRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, ...

WANAWAKE WA GAIRO WAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI KATIKA KUANZISHA VIWANDA

55m ago

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe akipongezwa na mchungaji Canon Chamwenye wa kanisa Anglikana ...

Rais Magufuli azinduwa ofisi kuu na matawi ya NMB Dodoma

6h ago

          RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amezindua ofisi na matawi mawili ya ...

Rais Magufuli Aitaka Bodi ya NMB kuangalia Upya Gawiwo Linalotolewa kwa Serikali

9h ago

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Bodi ya National Mi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek