Rais Magufuli ahudhuria sherehe za mapinduzi baada ua kuzikimbia mwaka jana

By Mzalendo, 1w ago

Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ameshiriki katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amani, Zanzibar. Ikiwa hii ni mara yake ya pili kuhudhuria sherehe hizi, mwaka jana 2016, Rais Magufuli alikimbia na hakuhudhuria kwenye maadhimisho bila ya sababu zilizojulukana. Wakati sherehe zinafanyika Rais Magufuli hakuwa nje ya nchi wala hakuwa mgonjwa. Alikuwa na shughuli nyengine kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kuwepo kwa Rais Magufuli ambaye ndio amiri jeshi mkuu hakumpi hadhi yakupigiwa mizinga 21 kama kiongozi ...

ZINAZOENDANA

Mwakyembe, Simba, wakubaliana mapya uwekezaji wa Mo

4h ago

Waziri mwenye dhamana ya michezo Dr. Harrison Mwakyembe alipata fursa ya kuzungumza na viongozi wa kl...

GOOD NEWS: Treni kutoka DSM mpaka Rwanda itachukua saa 12

6h ago

Leo January 20, 2018 Siku chache zilizopita Rais Kagame wa Rwanda alifanya ziara ya kikazi nchini na ...

SHIMIWI kutekeleza agizo la Makamu wa Rais

7h ago

SHIRIKISHO la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), litatekeleza agizo la Makamu wa Rais ...

CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

8h ago

Na Ripota , Globu ya jamii .CHAMA cha Wananchi(CUF) kimesema kimejipanga vema kuhakikisha wanashinda ...

DC LYANIVA AWAASA WATAALAMU WA MANUNUZI KUWA WAZALENDO

9h ago

 Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva amewaasa Wanafunzi wanao...

Waziri Mwakyembe baada ya amekutana na Rais wa Simba leo

9h ago

Jumamosi ya January 20 2018 waziri wa habari utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe amekut...

SHIMIWI kutekeleza agizo la Makamu wa Rais

Uongozi mpya wa Shirikisho la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) mara baada ya kutangaz...

MWAKYEMBE ATEMBELEA KAMBI YA SERENGETI BOYS LEO JIJINI DAR

10h ago

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Dr. Harrison Mwakyembe, Leo Jumamosi Januari 20, ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek