MAMA ANNA MGHWIRA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA KWA JESHI LA POLISI LA KILIMANJARO

By Jamhuri Media, 14w ago

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya mawasiliano ya Kmpyuta kwa jeshi hilo. Gwaride la Heshima lililoandaliwa kwa ajili ya Mkuu wa ...

ZINAZOENDANA

Mbeya City Yakataa Kufungwa Kwao Yagawana Point na Yanga

22h ago

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga, wamebanwa mbavu ugenini na Mbeya...

Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi, watuhumiwa waachiwa Huru

2d ago

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...

Naibu Waziri: Jeshi la Polisi Halina Muda wa Kulinda Maandamano

2d ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Zanzibar salama, kuna amani, utulivu

2d ago

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amesema wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanza...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Hakuna polisi kulinda waandamanaji

2d ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

2d ago

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Waliokataa Wito wa Makonda Kufikishwa kwa Kamanda Mambosasa

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewaonya wanaume waliokataa wito wa kuitwa kwao kuhusiana na malezi ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek