Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameendelea na ziara yake mkoani Shinyanga kwa kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Sekta ya Maji katika Wilaya ya Kishapu. Akihutubia katika mkutano wake kwa wakazi wa Kishapu, Aweso amewahakikishia wananchi hao kuwa Serikali yao itafanya kazi usiku na mchana katika kuhakikisha inamaliza kero ya maji na hakuna kijiji hata kimoja ambacho kitapitwa na huduma ya majisafi.Naibu Waziri Aweso ametoa rai kwa wananchi wote kutoa ushirikiano wa dhati kwa Serikali na viongozi wa ngazi zote, pamoja na kuunga mkono ju...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchikavu na Majini nchini (Sumatra) imeanza kutekeleza agizo la Ra...
Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Leo Alhamisi, Aprili 26, 2018 katika maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Benki ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Benki ya Mae...
Most read Swahili blog on earth
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kwa mamlaka aliyona...
Kiongozi wa ODM Raila Odinga akiwa uwanjani Ihura katika ibada ya wafu ya buriani kwa Kenneth Matiba,...