Kamati Kuu ya Chadema Washindwa Kukutana Leo Kupisha Msiba wa Mama Mzazi wa Kibatala

By Udaku Specially, 14w ago

Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho.Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter Kibatala.Akizungumza na Mwananchi leo Jumamisi Januari 13, 2018, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema '€œni kweli Kamati Kuu ilikuwa ikutane leo lakini imeahirishwa hadi kesho(Jumapili).'€'€œTumeahirisha ili kutoa nafasi ya viongozi kushiriki mazishi ya mama yake Kibatala yanayofanyika leo(Jumamos...

ZINAZOENDANA

Siasa za hofu na hofu za siasa

10h ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Mafundi wakiziba mashimo yaliyotokana na mvua za Masika

12h ago

 KUTOKANA  na Mvua zinazoendelea kunyesha barabara nyingi zimechimbika Mafundi wa barabara ...

Watu watano wahofiwa kupoteza maisha,Ni kutokana na mafuriko kwenye daraja linalotenganisha wilaya mbili

13h ago

Zaidi ya watu watano akiwemo mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Sigu katika kata ya ...

Mwanaume wa Miaka 69 Akutwa Amekufa Kanisani

14h ago

Mwanaume mmoja anayetajwa kuwa na umri wa miaka 69 siku za hivi karibuni amekutwa akiwa amefariki kat...

Wakenya watarajie mvua zaidi - idara ya utabiri hali ya hewa

19h ago

Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini (Kenya Metrological Department) imetoa tahadhari kwa Wakenya ...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utaw...

MBUNGE MAULID MTULIA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO KATA ZA MSISIRI A, B, NA KAMBANGWA KINONDONI

2d ago

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia(CCM), ametembelea maeneo ambayo yamek...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek