Thea Afunguka Kuhusu Kufunga Ndoa Mwaka Huu

By Udaku Specially, 14w ago

STAA wa Filamu za Kibongo, Salome Urassa 'Thea' ameweka wazi kuwa, baada ya kutengana na mumewe Mike Sangu na kukaa kimya muda mrefu, sasa anatangaza rasmi kwamba mwaka huu ndio mwaka wake wa kuingia kwenye ndoa nyingine iwapo Mungu atamjalia.Akipiga stori na Risasi Jumamosi Thea alisema kuwa, anavyoona yeye kwa mipango ya Mungu mwaka huu atapata ndoa nyingine kwani ni mwaka wa baraka kwake.'€œNitaolewa mwaka huu ni mwaka wa baraka na ninaamini Mungu atanijaalia kama ninavyomuomba, ili mambo na mipango niliyoipanga isiende tofauti,'€ alisema Thea.

ZINAZOENDANA

Baada ya Ndoa ya Alikiba Mbasha Ajiweka kwa Jokate " Usihofu Yetu Inakuja"

12m ago

Baada ya msanii Alikiba kuoa, maneno mengi na maswali yamekuwa yakielekezwa kwa mrembo Jokate Mwegelo...

Tetesi: Aliyewahi kuwa Beki wa Simba SC, Abdi Banda kumuoa dada yake Ali Kiba

Tetesi za Kitaa zinasema Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu...

Kutana na Mtaalam wa Matabibu ya nyota za Binadam na Bingwa wa Tiba za Asili Afrika Mashariki.

KUTANA NA SHARIF HAMAD KALALA NISHARIFU MCHAMBUZI WANYOTA ZA BINAADAMU NA NI MWENYE UPEO MKUBWA KUTAF...

Mambo ni Hivi Binti Amchanganya Zuma Aamua Kutangaza Ndoa

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ameshangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia...

Msiba wa Masogange Wazima Ndoa ya Abdu Kiba

  MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald 'Masogange' aliyefariki I...

Okoa Ndoa yako Sasa...Umepungukiwa na Nguvu za Kiume na Unashindwa Kupanda Mlima Vizuri

OKOA NDOA YAKO SASA : JE UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO AU MPENZI WAKO HAKUTIMIZII...

Abdul Kiba Afata Nyayo za Kaka Yake(+picha)

Ikiwa siku chache zimepita tangu kufunga ndoa kwa msanii mkubwa Duniani Alikiba, mdogo wake pia anaej...

Huna Sababu ya Kuaibika Tena.....Jipatie Dawa Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume

24h ago

Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujion...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek