Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA Chaahirishwa Hadi Kesho

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho.Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter Kibatala.Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema '€œni kweli Kamati Kuu ilikuwa ikutane leo lakini imeahirishwa hadi ...

ZINAZOENDANA

MWENYEKITI UVCCM AWACHANA CHADEMA - VIDEO

Mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM TAIFA, Kheri James amekisifia chama chake cha CCM na kusema watas...

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI MABEYO AKAGUA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA RELI KILOSA MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe akimuongoza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabe...

HABARI: Mgombea Ubunge CHADEMA Arudisha Fomu Kumkabili Mtulia Kinondoni

The post HABARI: Mgombea Ubunge CHADEMA Arudisha Fomu Kumkabili Mtulia Kinondoni appeared first on Gl...

CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

8h ago

Na Ripota , Globu ya jamii .CHAMA cha Wananchi(CUF) kimesema kimejipanga vema kuhakikisha wanashinda ...

KWANDIKWA: BARABARA ZA MCHEPUO KUPUNGUZA MSONGAMANO DODOMA

8h ago

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amesema kuwa ujenzi wa barabara ya Mbande - Kongwa (K...

Mku wa Majeshi akagua mafuriko Kilosa,Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha

8h ago

Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha na kusababisha mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro mkuu wa maje...

Mgombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Siha Naye Kajiapiza Kuichapa CCM

9h ago

Mgombea ubunge wa Jimbo la Siha, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Elvis Mosi, ames...

Mgombea Wa Ubunge Chadema Arudisha Fomu

10h ago

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salum...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek