CUBA YAKUBALI KUSOMESHA MADAKTARI KUTOKA ZANZIBAR

By Issa Michuzi, 9w ago

Serikali ya Jamuhuri ya Cuba imetiliana Saini Mkataba na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Usomeshwaji wa Madaktari Wazalendo 15 wa Zanzibar Nchini Cuba katika Fani ya Shahada ya Uzamili ya Udaktari.Madaktari hao 15 ambao Wanane wa Mwanzo wataanza Mafunzo yao Mwezi ujao wakifuatiwa na wengine 7 wa awamu ya Pili ni Miongoni mwa Wanafunzi waliomaliza masomo yao kupitia mpango wa masomo ulioasisiwa kati ya Serikali ya Cuba na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Saini ya Mkataba huo kwa Serikali ya Cuba imewekwa na Balozi wa Nchi hiyo Nchini Tanzania Profesa Lucas Domingo Hernades na kwa up...

ZINAZOENDANA

MRISHO MPOTO AKOSHWA PROGRAMU YA UMILIKISHAJI ARDHI NCHINI,AKUTANA NA WANANCHI WALIOKABIDHIWA HATI ZAO

2h ago

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu kutokana na kuto...

Mwigulu: '€œUkiona analalamika kama Lema ujue kuna kasoro"

4h ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amevunja ukimya kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa ...

Rais Magufuli amemrudishia Prof. Costa Ricky Mahalu hadhi yake ya Ubalozi.

5h ago

Rais Magufuli amemrudishia Prof. Costa Ricky Mahalu hadhi yake ya Ubalozi. Prof. Mahalu alisimamishw...

Athari za Magufuli kuzuia Watanganyika Kusafiria Zanzibar

5h ago

Athari za kuzuiliwa Watanganyika kusafiria Zanzibar na serikali ya Magufuli. Miezi kadhaa isiyozidi 6...

JAFO AAGIZA MAAFISA HABARI SERIKALINI KUINGIA KWENYE VIKAO VYA MAAMUZI

6h ago

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.SERIKALI imeziagiza Halmashauri kuhakikisha Ma...

Nilitamani sana nimuone rafiki yangu Nondo - Waziri Mwigulu Nchemba

6h ago

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza ...

Othaya: Rais Mstaafu Mwai Kibaki alikuwa mbunge wa hapa

6h ago

Mwai Kibaki ambaye kwa sasa ni Rais Mstaafu alikuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek