Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Januari, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo Ndg. Polepole amesema Mhe. Dkt. Magufuli amemuelekeza kuwajulisha wanachama wa CCM na umma wa Watanzania kuwa anasikitishwa na hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 iliyowekwa kwa mujibu wa katiba, hadi miaka 7. Ndg. Polepole amesema Mhe. Dkt. Ma...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kupitia kwa Mwenyekiti wa Umoja wa V...
Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele...
RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya k...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bunge ndicho chombo chenye mamlaka ya kikati...
Viongozi wote duniani wanaelekeza macho na masikio yao katika mkutano wa kihistoria Ijumaa ijayo kati...