Kilichosababisha KINGUNGE kurudishwa ICU baada ya mazishi ya Mkewe

By Millard Ayo, 9w ago

Leo January 13, 2018 Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Akiongea na AyoTV na millardayo.com msemaji wa familia ya Mzee Kingunge, Kinjekitile amesema kuwa Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo January 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi. VIDEO: […]

ZINAZOENDANA

Waziri Mwakyembe Amlilia Mpiga picha wa ITV

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kilichotokea Machi 16, mwaka hu...

Waziri Mwakyembe amlilia mpiga picha wa ITV, Evarist Ottaro

12h ago

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyemembe kilichotokea Machi 16, mwaka ...

Muhimbili Yakabidhiwa Majukumu

Hosptali ya Taifa Muhimbili MNH imetakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa katika kupambana na rus...

MUHIMBILI YAZINDUA KAMATI KUSIMAMIA MAADILI

2d ago

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imezindua kamati mbili ambazo ...

BODI YA WADHAMINI HOSPITALI YA MUHIMBILI YAZINDUA KAMATI MBILI, YAJIWEKEA MIKAKATI YA MIAKA MITANO

2d ago

BODI ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Menejimenti yake imejiwekea mikakati mb...

Muhimbili yazindua kamati ya kudhibiti uadilifu

2d ago

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa katika kupambana na rushwa kwa...

KING MAJUTO ANAUMWA

3d ago

Na Moshy Kiyungi, Tabora Imekuwa kawaida kuandika historia ya mtu pindi anapofariki. Katika makala hi...

'WEZESHA MZAWA' YATOA ELIMU YA MIKOPO MUHIMBILI KAMPUNI

       KAMPUNI inayotoa ya Mikopo Wezesha Mzawa Microfinance Ltd leo imetoa elimu kuhu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek