Azam Kibaruani Leo Kutetea Taji Lake Kombe la Mapinduzi

By Udaku Specially, 9w ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Leo Jumamosi itakuwa kibaruani kutetea taji lake la Kombe Mapinduzi, pale itakapokuwa ikipambana na URA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar saa 2.15 usiku.Mbali na kuwa mtihani wa kutetea ubingwa walioutwaa mwaka jana kwa kuifunga Simba bao 1-0, Azam FC pia itakuwa ikifukuzia rekodi mbili na kuweka historia mpya kwenye michuano hiyo iliyoshirikisha timu 11 mwaka huu.Rekodi ya kwanza ni ile ya kurudia mafanikio waliyoyapata miaka mitano iliyopita walipolitwaa taji hilo mara mbili mfululizo mwaka 2012 na 20...

ZINAZOENDANA

Simba out kimataifa

2h ago

Safari ya Simba kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika imeishia Misri baada ya kulazimisha sul...

Ndoto ya Simba yafia Misri

2h ago

Tumaini pekee la Simba kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ...

Mnyama Simba SC atolewa kiume na Waarabu wa Misri

2h ago

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeyaaga rasmi mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baa...

Tazama Live: Simba Vs Al Masry Hapa

 The post Tazama Live: Simba Vs Al Masry Hapa appeared first on Global Publishers.

Deportivo La Coruna yatoka sare na Las Palmas La Liga

5h ago

Klabu ya Deportivo La Coruna imetoka sare ya goli 1 - 1 dhidi ya Las Palmas mchezo wa ligi ya ...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

5h ago

Yanga sasa wanasubiri ratiba ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Live: Tazama hapa Al Masry v Simba

5h ago

Mchezo was marudiano Kati ya Simba na Al Masry hautakuwa live kwenye televisheni   Tumekusogezea...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek