Nishati jiridhisheni ubora wa Vifaa - MAJALIWA

By Mtembezi, 10w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza katika kikao cha maendeleo ya usambazaji umeme kilichofanyika , Ofisini […] The post Nishati jiridhisheni ubora wa Vifaa – MAJALIWA appeared first on Mtembezi.

ZINAZOENDANA

Khadija Khopa Achoka Kuwa Singo Ataka Mwanaume wa Kumuoa "Nataka Mume Sipendi Dhambi"

Malkia wa Mipasho nchini Tanzania asiyekuwa na mshindani, Khadija Kopa ametangaza rasmi kuhitaji...

WAZIRI MKUU AMUWAKLISHA RAISI JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA AU .RWANDA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa .kwaniaba ya Raisi John  Pombe Magufuli leo March/21/2018 amesaini mka...

WAZIRI MKUU AMWAKLISHA RAIS JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA AU NCHINI RWANDA

4h ago

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini  ya mkataba wa Makubaliano ya kulifanya Bara la Afrika ...

Waziri Mkuu Amuwaklisha Raisi John Magufuli Katika Mkutano Wa AU Rwanda

4h ago

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amemwakilisha Rais John Magufuli katika sherehe za kusai...

MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO WA UCHUMI RWANDA

5h ago

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Na Arodia Peter, Kigali Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Maja...

MAJALIWA ASISITIZA AMANI YA NCHI KUVUTIA WAWEKEZAJI

9h ago

  Na Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewaasa watanzania kulin...

WAZIRI MKUU ATAKA SULUHISHO MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

11h ago

Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, amewataka Mawaziri wa Afya kutoka nchi tisa za Afrika,...

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MSAADA BIBI TACLA HAMIDU (MLEMAVU)

22h ago

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemkabidhi Bibi Tecla Hamidu ambaye ni mlemavu wa miguu sh. milion...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek