FULL VIDEO: Rais Magufuli avunja ukimya, aongea kuhusu kuongeza MIAKA 7 Madarakani

By Millard Ayo, 14w ago

Mjadala wa kwamba Rais Magufuli anao mpango wa kuongeza muda wa Urais kutoka miaka mitano mpaka miaka 7 uliibuka kuanzia mwaka 2017, leo IKULU Dsm Rais Magufuli ameongea na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole na kuliongelea hilo. President JPM amesema hafurahishwi na anasikitishwa sana na huo mjadala…. tazama zaidi kwenye hii video […]

ZINAZOENDANA

MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA

3m ago

Na Hamza Temba-Ngorongoro, ArushaMashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatat...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

1h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Rais wa Syria aikataa tuzo aliyopewa na Ufaransa, aeleza sababu

2h ago

Syria imerejesha kwa Ufaransa tuzo ya L©gion d’honneur aliyopewa Rais Bashar al-Assad, ikise...

CCM yaapa kutoa ushirikiano katika vita dhidi ya rushwa

2h ago

Musoma. Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara kimeahidi kushirikiana na vyombo na mamlaka husika ku...

Masogange awakutanisha Kiba, Diamond

2h ago

Wasanii wa Bongo Freva, Ali Kiba na Naseeb Abdul 'Diamond' wamekutana na wamesalimiana kwa kupeana mi...

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Familia ya Masogange

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange

4h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Salamu za Rais Dkt Magufuli kwa familia ya Agnes Masogange

4h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kupitia kwa Mwenyekiti wa Umoja wa V...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek