MAZISHI YA MAMA KIBATALA YASABABISHA KUHARISHWA KWA KIKAO CHA CHADEMA

By Jamhuri Media, 10w ago

Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho. Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter Kibatala. Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema '€œni kweli Kamati ...

ZINAZOENDANA

Polisi yatoa amri kukamatwa wabunge wa CHADEMA

10h ago

Jeshi la Polisi Nchini leo Machi 22, 2018 limetoa amri ya kukamatwa kwa Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Md...

Heche: Viongozi Chadema Wamefungwa Kifungo cha Nje

16h ago

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Serengeti...

Update2: John Mnyika na John Heche Nao Wameachiwa Kwa Dhamana

18h ago

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Serengeti, Joh...

Heche asema viongozi Chadema wamefungwa kifungo cha nje

18h ago

Heche na Mnyika walibaki kwa maelezo kuwa wamekuwa wakikwepa utaratibu wa dhamana

Viongozi Chadema wakumbwa na hofu ya kubambikiziwa kesi za mauaji

20h ago

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameonesha wasiwasi juu ya Je...

Updates: Mbowe, Katibu Mkuu Wameachiwa....Mnyika na John Heche Wamebakizwa Polisi

20h ago

Viongozi watatu  wa Chadema walioripoti Kituo Kikuu cha Polisi wakiongozwa na Katibu Mkuu wa cha...

Mnyika, Heche wang'ang'aniwa Polisi, Mdee asakwa

JOHN Mnyika, Naibu Katibu Mkuu (Bara) na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti, John Heche wamezui...

Mnyika, Heche wawang'ang'ania Polisi, Mdee asakwa

JOHN Mnyika, Naibu Katibu Mkuu (Bara) na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti, John Heche wamezui...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek