Waziri Mwigulu afunga Kampeni Singida awaonya watakaofanya Vurugu

By Mtembezi, 18w ago

Waziri Wa mambo ya ndani ya nchi DK mwigulu Nchemba amewahakikishia usalama  wananchi wote ambao majimbo yao yanafanya uchaguzi  marudio na kuwataka kujitokeza Kwa wingi kupiga kura pasipo kuhofia usalama. wao. Waziri Nchemba  amewaagiza vyombo vya ulinzi kuimalisha ulinzi siku ya uchaguzi na kwa yeyote atakaye leta fujo ili wananchi  wasiweze kwenda kupiga kura basi […] The post Waziri Mwigulu afunga Kampeni Singida awaonya watakaofanya Vurugu appeared first on Mtembezi.

ZINAZOENDANA

Mark Zuckerberg Kuhojiwa Kesho na Wabunge wa Ulaya

13h ago

Mwaka huu 2018 umekuwa ni mwaka wa tofauti kidogo kwa kampuni ya Facebook pamoja na mkurugenzi wake...

Wapiga kura waidhinisha marekebisho ya katiba Burundi

14h ago

Tume ya Uchaguzi nchini Burundi imetangaza kwamba kambi iliyokuwa inaunga mkono marekebisho ya katiba...

Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe Chadema

17h ago

Dar es Salaam. Chadema imeanza uchaguzi kuwapata viongozi wake huku kukiwa na minong'ono kwamb...

Nicolas Maduro ashinda uchaguzi kwa kishindo Venezuela

19h ago

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameshinda tena kiti cha Urais kuiongoza nchi hiyo kwenye uchaguzi ul...

Serikali Yasisitiza Kutowapa Mikopo Wanafunzi Waliosoma Shule Binafsi....Vipaumbele Vyake ni Kwa wasio Na Uwezo

19h ago

Serikali imesema kuwa mwanafunzi aliyemaliza shule binafsi inachukuliwa moja kwa moja kuwa anauwezo w...

Rais Nicolas Maduro ashinda uchaguzi nchini Venezuela

19h ago

Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais ambao ulifanyika nchini hum...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek