Wakulima wapokea Mbolea,Washukuru agizo la Rais Magufuli kutatua changamoto

By Channel 10, 14w ago

Wakulima mkoani Rukwa wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia mbolea ya kukuzia mazao yao ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Pombe Magufuli alilolitoa mwanzoni mwa wiki kuwa Rukwa inauhaba wa mbolea. Wakizungumza kwa nyakati tofauti walipokuwa wakinunua mbolea katika ghala la Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) baadhi ya wakulima hao wamesema watendaji wa Serikali wametekeleza[...] The post Wakulima wapokea Mbolea,Washukuru agizo la Rais Magufuli kutatua changamoto appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

Mpinzani atetea uraia wa Lungu

1h ago

Kiongozi wa chama cha upinzani Vincent Chaile amesema mjadala kuhusu madai kwamba Rais Edgar Lungu si...

Barack Obama na Michelle watuma salamu za pongezi kwa Prince William na Kate

2h ago

Aliyekua rais wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle Obama wametuma salamu za pongezi kwa Prince...

Waziri wa Afya azindua ugawaji wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu Kigoma

2h ago

*Vyandarua ure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukionaWAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia W...

LIVE: Rais Magufuli Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki - VIDEO

 The post LIVE: Rais Magufuli Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki – VIDEO appeared first...

LIVE: Rais Magufuli Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Aprili, 2018 analihut...

Fatma Karume Asema Hana Mpango wa Kuingia kwenye Siasa

Mwanasheria maarufu nchini ambaye kwa sasa ndiye rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Bi. Fatma Karu...

Rais Magufuli Awataka Wastaafu Kuiga Mfano wa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo Pinda

Rais John Magufuli jana alimmwagia sifa Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kwa kumwelezea ni kiongozi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek