Viongozi wazembe waonywa,Naibu Waziri Ole Nasha awataka kusimamia maendeleo

By Channel 10, 14w ago

Naibu Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia William Ole Nasha amewaonya baadhi ya viongozi wa serikali na wananchi katika baadhi ya maeneo ya vijijini, na kuwataka kuacha mara moja tabia ya kukwamisha shughuli na miradi ya maendeleo katika maeneo kwa maslahi yao binafsi. Akiwa katika kijiji cha Meshili kata ya Olbalbal wilayani Ngorongoro katika Ufunguzi[...] The post Viongozi wazembe waonywa,Naibu Waziri Ole Nasha awataka kusimamia maendeleo appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA

4m ago

Na Hamza Temba-Ngorongoro, ArushaMashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatat...

Wanafunzi Tanzania wanavyopambana na unyanyasaji kwenye Usafiri

14m ago

Madai ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya walimu na wanafunzi katika shule za Nigeria huwa zinachukua...

Ronaldo aharibu sherehe ya Yanga, watoka sare 1-1

16m ago

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara wameshindwa kutamba mbele ya Mbeya City baaya ya kulazimishwa kwa ...

Msanii wa Bongo fleva Jebby, afariki dunia

52m ago

Msanii wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Jebby ambaye amewahi kufanya vyema na wimbo kama Swah...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

1h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Mahakama Yamwachia Huru Nabii Tito

1h ago

Mahakama  ya Wilaya ya Dodoma, imemfutia mashtaka ya kutaka kujiua na kuamuru akapatiwe matibabu...

TANZIA: Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva yapata pigo, Msanii Jebby afariki dunia

1h ago

Msanii wa Bongo Fleva, Jebby ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Swahiba’ ame...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek