Maadhimisho ya Mapinduzi 2018 yaache athari kwa jamii

By Mzalendo, 14w ago

Kwa mwaka huu wa 2018, tumefikia kilele cha maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar 1964. Tukitafakar historia na vile yalivyotokea mapinduzi yenyewe, halkadhalika tukiangalia shamrashamra za maadhimisho ya mwaka huu na pia tukiangaza maadhimisho kama haya mwaka ujao hatuna budi kuyafanya maadhimisho ya mwaka huu yaache athari kwa jamii. Athari tunayotaka sio damu wala kovu mwilini, huzuni au furaha usoni, bali iwe athari akilini. Akili itakayofikiria kile wazee wetu kilichowakuta na kuwasibu kwa mazuri na mabaya. Baada ya hapo tubuni njia mpya. Baada ya kusoma documents nyingi nimebaini kuwa Waz...

ZINAZOENDANA

TANZANIA NA ISRAEL KUANGALIA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA SHERIA

3m ago

Na  Mwandishi MaalumTanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana men...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

11m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...

Siasa za hofu na hofu za siasa

57m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Tangazo la Ajira Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum SMZ

1h ago

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...

Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini

2h ago

 WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kia...

Rais Magufuli Aitaka Bodi ya NMB kuangalia Upya Gawiwo Linalotolewa kwa Serikali

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Bodi ya National Mi...

Video: Rais Magufuli awataka viongozi wastaafu wajifunze hili kutoka kwa Pinda

2h ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka baadhi ya viongozi kujif...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek