Waziri Ummy Mwalimu ni kicheko kwenda mbele Coastal Union

By Shaffih Dauda, 1w ago

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewapa motisha wachezaji wa Coastal Union kiasi cha shilingi milioni mbili (2,000,0000) ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa kwamba kila mechi watakayoshinda atatoa kiasi hicho kwa timu ili wachezaji wajitoe kuhakikisha timu yao inarudi ligi kuu Tanzania bara msimu ujao. Waziri Ummy ametoa […]

ZINAZOENDANA

Mkomola apewa masaa 38 Yanga

53m ago

Mkomola ameumia katika mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting waliyoshinda bao 1-0 ,  Uwanja wa Taifa, m...

LIVE Kutoka Uwanja wa Kaitaba: Kagera Sugar 0-0 Simba SC

Dk ya 4: Timu zote zimeanza kwa kasi ya kawaida. Dk ya kwanza: mchezo umeanza. Mchezo wa Ligi Kuu Tan...

Alliance, Malinzi, watajwa matokeo ya Dodoma FC

2h ago

Jumapili Januari 21, 2018 Dodoma FC ilikuwa ugenini kucheza dhidi ya JKT Oljoro mchezo wa ligi daraja...

Okwi Afumua kikosi Simba

Okwi Afumua kikosi SimbaUJIO wa mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, umemfanya kocha msaidiz...

JAMES MCCARTHY AVUNJIKA MGUU MARA MBILI

3h ago

LONDON, ENGLAND KLABU ya Everton imepata majanga mapya, baada ya juzi kiungo wao, James McCarthy, kuv...

KOMBE LA DUNIA LINAWEZA KUWA NDOTO KWA DEMBELE

4h ago

Na BADI MCHOMOLO WACHEZAJI wengi kipindi hiki cha michuano ya Ligi Kuu wamekuwa wakionesha kiwango ch...

SIMBA BADO WANAKIBARUA KIZITO KUCHUKUA UBINGWA   

4h ago

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM TIMU ya Simba bado ina kabiliwa na kibarua kigumu kutwaa Ubingwa wa Ligi...

YANGA MKUBALI KUJIJENGA UPYA

5h ago

NA ZAINAB IDDY NI ukweli uliowazi hivi sasa mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 'Yan...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek