Umoja wa Afrika,Wamtaka rais Trump kuomba radhi kwa kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya mataifa ya Afrika

By Channel 10, 1w ago

Uongozi wa Umoja wa Afrika unaowakilisha nchi 54 za Afrika umemtaka Rais wa Marekani Donald Trump kuziomba radhi baada ya kuripotiwa kutumia maneno machafu alipokuwa akizungumzia kuhusu wahamiaji kutoka mataifa ya Afrika, Haiti na El Salvador wakati alipokutana na wabunge Ikulu. Baada ya kikao cha dharura cha mabalozi wa nchi za Afrika katika Umoja wa[...] The post Umoja wa Afrika,Wamtaka rais Trump kuomba radhi kwa kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya mataifa ya Afrika appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

Mashahidi watatu watoa ushahidi katika kesi dhidi ya Sugu

5m ago

Sugu na Masonga wanashtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli, wakida...

Dr Mollel : Nilifanya Jambo la Kitoto Nilipokuwa Chadema, Waliniambia Nitoke Bungeni Magufuli Akiingia

9m ago

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha kwa tiketi ya CHADEMA, Godwin Ole Mollel ambaye alihama chama hicho...

Matumizi ya shughuli za serikali yaidhinishwa Marekani

35m ago

Mvutano kuhusu matumizi ya shughuli za serikali uliokua ukiendelea kwa siku tatu mfululizo nchini mar...

Mashahidi wanne wammaliza Scorpion ahukumiwa miaka saba jela

49m ago

Aliyetobolewa macho ashangazwa na adhabu, aomba kuonana na Rais Magufuli

George Weah achakua rasmi hatamu za uongozi Liberia

2h ago

Aliyekuwa mwanasoka wa kimataifa, George Weah aliapishwa rasmi kuwa rais mpya wa Liberia katika hafla...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek