ASILIMIA 80 YA WANAOHITAJI DAMU NCHINI NI WANAWAKE.

By Issa Michuzi, 5d ago

NA WAMJW-DAR ES SALAAMASILIMIA 80 ya wanaohitaji damu nchini ni wanawake kwa sababu mbalimbali ikiwemo uzazi salama wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida na njia ya upasuaji. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu ambayo inafanywa na Chama cha wanawake wa Tasnia ya Filamu nchini leo jijini Dar es salaam. '€œNapenda kusisitiza Damu haiuzwi na kwa mgonjwa yeyote atakayeuziwa damu kwenye kituo chochote cha afya cha Serikali atoe taarifa kwenye idara husika na atachukuliwa h...

ZINAZOENDANA

SERIKALI YAJA NA MUONGOZO WA KUPAMBANA NA USUGU WA VIMELEA VYA DAWA

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na wadau mbalimba...

SERIKALI YAJA NA MUONGOZO WA KUPAMBANA NA USUGU WA VIMELEA VYA DAWA.

11h ago

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeandaa Muongozo wa matibabu nchini na orodha ya dawa zote muhimu il...

SERIKALI YAJA NA MUONGOZO WA KUPAMBANA NA USUGU WA VIMELEA VYA DAWA.

11h ago

NA WAMJW-DAR ES SALAAMSERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeandaa Muongozo wa matibabu nchini na orodha ...

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI WA AFYA MHE.UMMY HOSPITALI YA AMANA

Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na wagonjwa n...

SERIKALI KUNUNUA DAWA ZA KUHIFADHI MAITI KWA WAZALISHAJI

3d ago

Serikali inakusudia kuanza kununua dawa za kuhifadhia maiti moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji viwa...

MADAKTARI BINGWA MUHIMBILI KUHAMISHIWA HOSPITALI YA TEMEKE

3d ago

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka baadhi ya madakta...

Alichosema Waziri Ummy alipotembelea Hospitali ya Rufaa Temeke (video+)

3d ago

Leo January 15, 2018 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametemb...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek