Waziri Ummy Mwalimu alivyojichanganya na mashabiki kuishangilia Coastal Union leo

By Millard Ayo, 14w ago

Jumamosi ya January 13 2018 michezo ya Ligi daraja la kwanza ilichezwa katika viwanja mbalimbali, lakini katika uwanja wa Mkwakwani Tanga Coastal Union walikuwa ni wenyeji wa Mufundi. Coastal Union leo wakiwa katika uwanja wao Mkwakwani Tanga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, hivyo safari yao ya kurejea Ligi Kuu wameiweka vizuri. Ukiachana na matokeo […]

ZINAZOENDANA

Msuva Aendelea Kung'ara Morocco, Azidi Kuipa Ushindi Difaa El Jadid

30m ago

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya Difaa El Jadid, Simon Msuva ameendelea kung'ara kwenye...

Mwadui vs SIMBA Muda: SAA 10:00 Jioni Uwanja: Kambarage

32m ago

SIMBA imecheza mechi 17 za Ligi Kuu sawa na dakika 1,530 ikiwa haijapoteza mchezo wowote, lakini Koch...

Geita yajipanga Ligi ya Mabingwa Mkoa

32m ago

CHAMA cha Soka Mkoa wa Geita (Gerefa), kimesema maandalizi ya Ligi ya Mabingwa katika kituo chake yam...

Utata waibuka Mbeya City, Yanga

50m ago

Tukio la mchezaji wa Mbeya City Eliud Ambokile kurejea uwanjani akiwa ametolewa baada ya kuumia, ni m...

SportPesa yarejea kufadhili soka nchini Kenya

2h ago

Kampuni ya kubashiri mchezo SportPesa, imerejesha ufadhili wa ligi kuu ya soka nchini Kenya KPL.

Yanga Waangusha Bonge la Sapraize

3h ago

ACHANA na matokeo ya Mbeya City ya 1-1 na Yanga, hopa iliyopo kwa sasa ni mbio za ubingwa wa Ligi Kuu...

MOHAMED SALAH ACHUKUA TUZO YA PFA ENGLAND

3h ago

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Misri na majogoo wa jiji nchini Eng...

UTANASHATI WA SUTI -Makocha VPL wanapotoka kila mmoja kivyakevyake

4h ago

NI mara chache hata Ligi Daraja la Kwanza England na kwingineko utaona makocha wa timu wamepigilia su...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek