WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION MILIONI 2 BAADA YA KUIFUNGA KURUGENZI WA MUFINDI MABAO 3-0 LEO

By Issa Michuzi, 14w ago

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka kulia Ummy Mwalimu  akimkabidhi kitita cha sh.milioni mbili nahodha wa timu ya Coastal Hussein Sharifu maarufu Casilasi mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga leo kulia ni Mwand...

ZINAZOENDANA

Kikosi cha Simba chafanya mazoezi  uwanja wa 'Highland' Morogoro kuelekea Kariakoo derby

3h ago

  Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi yake  hii leo uwanja wa ‘Highland’ m...

Usiku mzito Liverpool kwa Roma, Real na Bayern

4h ago

Liverpool ya Mohames Salah leo watakuwa na kibarua kizito mbele ya AS Roma katika mchezo wa kwanza wa...

Sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya Hizi Hapa

4h ago

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 b...

MOHAMED SALAH MCHEZAJI BORA WA MSIMU 2018/17 LIGI YA UINGEREZA

4h ago

Nyota wa Liverpool, Mmisri, Mohamed Salah ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mwanasoka bora wa Engla...

Wenger Awatupia Lawama Mashabiki kwa Kukosa Umoja

Mara baada ya meneja wa Arsenal, Arsene Wenger siku ya Ijumaa kutangaza kuondoka ndani ya klabu hiyo ...

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI??

5h ago

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI?? Hafidh Ally Katika ki...

Msuva Aendelea Kung'ara Morocco, Azidi Kuipa Ushindi Difaa El Jadid

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya Difaa El Jadid, Simon Msuva ameendelea kung'ara kwenye...

Mwadui vs SIMBA Muda: SAA 10:00 Jioni Uwanja: Kambarage

7h ago

SIMBA imecheza mechi 17 za Ligi Kuu sawa na dakika 1,530 ikiwa haijapoteza mchezo wowote, lakini Koch...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek