WAZIRI WA MAJI AWAAGIZA WAKANDARASI WA MAJI KUMALIZA MAPEMA MIRADI HIYO

By Issa Michuzi, 15w ago

Na,Joel Maduka,Geita.Waziri wa maji na Umwagiliaji Mhandisi ,Isack Kamwelwe amewataka wakandarasi wa miradi mbalimbali ya maji kukamilisha miradi hiyo kwa wakati ili kuwaondolea wananchi changamoto ya ukosekanaji maji ambayo imeendelea kuwakabili kwa muda mrefu .Mhandisi Kamwelwe ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani Chato Mkoani Geita iliyokuwa na lengo la kukagua miradi ya maji inayotekelezwa wilayani humo.Akizungumza na wananchi wa Kata ya Katoro na Buseresere amesema matatizo ya maji katika miji ya Muganza, Buzirayombo na Buseresere yataanza kufanyiwa kazi na p...

ZINAZOENDANA

Puma yajivunia kuiuzia mafuta Airbus 380

36m ago

KAMPUNI ya mafuta ya Puma Energy Tanzania imejivunia ufanisi wa huduma ya mafuta iliyotoa kwa ndege k...

Sumatra yaanza kukagua leseni

37m ago

MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchikavu na Majini nchini (Sumatra) imeanza kutekeleza agizo la Ra...

Udom kuwasiliana kidijitali kwenye mikutano

47m ago

CHUO Kikuu Dodoma (UDOM) kinakusudia kuanzisha mfumo wa kutumia mashine za kielektoniki, ipad katika ...

Video: DSTV watoa shavu la Avengers kwa wateja wao

55m ago

Kampuni ya DSTV imetoa shavu kwa wataeja wake siku ya leo April 26 mwaka huu, kushuhudia filamu...

AfDB yaahidi kuendelea kufadhili miradi

1h ago

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania kutekeleza miradi...

RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO (Picha + Video)

Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

UNIC yawafunda wanafunzi kidato cha sita Jitegemee juu ya mauaji ya halaiki Rwanda

4h ago

        The post UNIC yawafunda wanafunzi kidato cha sita Jitegemee juu ya mauaji...

Vigezo vilivyozingatiwa kuifanya 'Dodoma' kuwa jiji

5h ago

Leo Alhamisi, Aprili 26, 2018 katika maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek