TANGAZO KWA ABIRIA WA TRENI ZA KWENDA BARA.

By Issa Michuzi, 15w ago

KAMPUNI YA RELI TANZANIATANGAZO KWA ABIRIA WA TRENI ZA KWENDA BARA.KAMPUNI YA RELI TANZANIA INASIKITIKA KUTANGAZA KWAMBA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA SEHEMU MBALIMBALI NCHINI  MIUNDOMBINU YA RELI YETU KATI YA KILOSA NA GULWE IMEHARIBIKA. KUTOKANA NA UHARIBIFU HUO UMESABABISHA HUDUMA YA USAFIRI WA TRENI KUSITISHWA KWA MUDA KUTOKEA DAR ES SALAAM KWENDA DODOMA ILI KUWEZESHA UKARABATI WA MIUNDOMBINU HIYO KUFANYIKA KWA HARAKA.KAMPUNI INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA KATIKA KIPINDI AMBACHO HUDUMA HII YA USAFIRI HAITAKUWEPO MPAKA HAPO  ITAKAPO REJESHWA ...

ZINAZOENDANA

WALIOKUBWA NA MAFURIKO DAR WAKUMBUKWA KWA MISAADA YA CHAKULA, MALAZI

9h ago

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiMKOA wa Dar ea Salaam umeadhimisha miaka 54 ya Muungano kwa kutoa m...

Dar yaadhimisha muungano kwa kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko (Picha)

10h ago

Mkoa wa Dar ea salaam leo hii (26 April 2018) umeadhimisha miaka 54 ya Muungano kwa kutoa misaada ya ...

DAR ES SALAAM YAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUTOA MISAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO

Mkoa wa Dar ea salaam leo umeadhimisha miaka 54 ya Muungano kwa kutoa misaada ya chakula na malazi kw...

Mafuriko yaendelea kutatiza shughuli nchini Kenya

1d ago

Biashara nyingi mjini Thika zilitatizika baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia Jumanne.

MWENYEKITI HALMASHAURI YA MOROGRO ATAJA MBINU KUTUA MIGOGORO YA ARDHI

1d ago

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii IMEELEZWA watu pekee wanaoweza kumaliza migogoro ya ardhi nchini...

Siasa za matukio na mustakabali wa Taifa

2d ago

Wakazi wa maeneo mengi nchini wiki iliyopita imekuwa ni ngumu kwao, hasa kutokana na mvua kubwa ambaz...

Mvua kubwa yatishia maisha ya maelfu ya watu Kenya

2d ago

Mabwawa mawili nchini Kenya yanakaribia kufurika kutokana na mvua kubwa , inayotishia maisha ya maelf...

Mvua yaua watu 15 Kenya, yasimamisha kazi

2d ago

Barabara kuu kadhaa zimeharibika na kusababisha wasafiri wengi kushindwa kusafiri 

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek