Nilimwelezea mke wangu asili ya jeraha lile kwa kifupi, tukakubaliana kutafuta wataalamu wa tiba za asili (waganga) ili waweze kutusaidia. Wengi wa waganga hao walikuwa waongo, '€œhili jeraha limetokana na jini ambalo umetupiwa na jiani yako ambaye hapendi mafanikio yako'€alisema mganga mmoja ambaye moja kwa moja tulimuona ni muongo na kupuuza maelekezo yake. Mganga mwingine […] The post Mpaka kieleweke sehemu ya 53 appeared first on Mtembezi.
Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu amefunguka kuhusu janga lilompata hivi katibuni baada ya kuweka ...
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Aprili 24, 2018. Ni y...
Manchester City wako tayari kumuachilia mlinzi wa England John Stones, mwenye umri wa miaka 23, msimu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa anajua wapo watakaotum...
Msanii wa bongo movies Rammy Galis ambae alizua gumzo katika mitandao baada ya picha yake kusamba...
Jonas Kamaleki- MAELEZOSerikali ya Israel imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. J...
hivi juzi msiba wa mwanadada masogange umezua mambo mengi sana mapya ambayo mengine yalikuwa hayajuli...
Muigizaji wa Bongo movie Rammy Galis ameibuka na kujitetea baada ya sakata lake la kutuhumiwa kuigiza...