Afungwa jela kwa Kumtishia Maisha Mkuu wa wilaya

By Edwin Moshi, 4d ago

Mahakama  ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa mtaa wa barabara ya Mbutu, Mohamed Ahmed (54) kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumtishia na kumtolea lugha ya matusi Mkuu wa Wiilaya hiyo, John MwaipopoMwendesha Mashtaka wa Serikali, Elimajidi Kweyamba, alidai mahakamani hapo kwamba mshitakiwa, alitenda kosa hilo Januari 09, mwaka huu, saa 1:05 usiku katika maeneo ya barabara kuu ya lami ya Igunga mjini. Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Igunga, Ajali Milanzi, Kweyamba amesema kuwa mshitakiwa huyo alimtolea Lugha ya matusi Kiongo...

ZINAZOENDANA

SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA

7h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari ...

SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimu wagonjwa wakati alipotembela hospitali ya wilaya ya Tarime a...

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI

8h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi ...

WAZIRI MKUU ATATUA MGOGORO WA MIAKA MITATU

8h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Ta...

SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI-MAJALIWA

8h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari ...

WAZIRI MKUU ATATUA MGOGORO WA MIAKA MITATU

*Ni wa ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime     WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...

MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI

10h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari ...

WAZIRI MKUU ATATUA MGOGORO WA MIAKA MITATU

10h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Ta...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek