Uvumilivu wamshinda Sumaye

By Edwin Moshi, 14w ago

Waziri Mkuu mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ukanda wa Pwani, Fredrick Sumaye amedai wabunge na madiwani wanaohama vyama na kupelekea uchaguzi kufanyika tena ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi na ufisadi piaMzee Sumaye ambaye aliondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa uchaguzi Mkuu 2015 na kuhamia Chadema amesema kwamba kitendo cha kiongozi aliyechaguliwa na wananchi kujiuzulu nafasi yake na kuhamia chama kingine kisha kurudi kugombea tena eneo hilo ni ufisadi.Mwanasiasa huyo mkongwe ameyasema hayo wakati akizungumza na moja ya kituo cha runinga h...

ZINAZOENDANA

Siasa za hofu na hofu za siasa

51m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Fatuma Karume - asema TLS hawezi kudhibitiwa

2h ago

Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume Chanzo: Jamhuri Media ‘Online TV...

Mfululizo wa mashambulizi Afghanistan,Watu 63 wameripotiwa kuuawa na wengine 119 kujeruhiwa

3h ago

Zoezi la uandikishaji wapiga kura nchini Afghanistan limeendeala kuingia doa kufuatia mfululizo wa ma...

Fatuma Karume Asema TLS Hawezi Kudhibitiwa

4h ago

Siku chache baada ya Rais Dkt. John Magufuli kumtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, kuk...

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI??

5h ago

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI?? Hafidh Ally Katika ki...

Tunasubiri kusikia uchaguzi wa viongozi ZFA

10h ago

Nilipigwa ganzi kusikia Tanzania imepoteza nafasi ya timu za vijana wa U-17, michuano inayoendelea ku...

Utabiri hali ya upinzani 2020

11h ago

Kuna madai kuwa Tanzania itaingia katika Uchaguzi Mkuu ujao ikiwa na ushindani dhaifu wa upinzani dhi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek