Matokeo ya mchezo wa fainali ya Mapinduzi CUP kati ya Azam FC na URA FC

By Swahili Times, 14w ago

Azam FC imeibuka mshindi wa michuano ya Mapinduzi CUP iliyomalizika usiku huu visiwani Zanzibar baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa jumla ya penati 4-3. Mchezo huo umelazimika kuingia katika hatua ya penati baada ya kumaliza dakika 90 kwa timu hizo kwenda suluhu. Katika hatua ya penati, mlinda mlango wa Azam, FC, Razak Kabalora ‘Mikono Mia Mia’ ameweza kuonyesha uwezo mkubwa baada ya kupangua mikwaju miwili iliyopigwa na wachezaji wa URA FC. Lakini pia, mlinda mlango wa URA FC aliweza kupangua penati moja. Azam imeshinda kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo baada ya kulitwaa mw...

ZINAZOENDANA

Shein afurahia Egyptair kuanzisha safari

4h ago

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya k...

NAYASEMA HAYA KWA UNYONGE MKUBWA

6h ago

NAYASEMA HAYA KWA UNYONGE MKUBWA. Hafidh Ally Katika kitabu kinachoitwa ” THE PARTNER-SHIP MUUN...

Hesabu kali! Simba, Yanga jipangeni

7h ago

VIGOGO wa soka mkoani Mbeya sio wa kuchezea kabisa unaambiwa, na kama mikakati yao itakwenda kama wal...

Zanzibar salama, kuna amani, utulivu

8h ago

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amesema wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanza...

Ongezeko la Maradhi ya Matumbo Zanzibar lawashtua viongozi

9h ago

Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari juu ya Ongezeko la Maradhi ya Matumbo ya kuharisha ambayo yameanza...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

10h ago

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

WANANCHI WATAHADHARISHWA ONGEZEKO MARADHI YA MATUMBO YA KUHARISHA ZANZIBAR

11h ago

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari juu ya Ongezeko la Maradhi ya ...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

12h ago

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek