AZAM BINGWA, KOMBE LA MAPINDUZI YAIFUNGA URA KWA PENATI 4-3

By Jamhuri Media, 14w ago

Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa penati 4-3. Azam wameshinda kombe hili kwa mara ya pili mfululizo. Shuja wa mchezo huo ni mlinda mlango wa Azam, Razak Abolora ambaye amedaka penati mbili na kuifanya azam kulipa kisasi cha kufungwa kwenye atua ya makundi

ZINAZOENDANA

Ni Singida United Vs Mtibwa Sugar fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) 

11h ago

Klabu ya Singida United imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

Hesabu kali! Simba, Yanga jipangeni

2d ago

VIGOGO wa soka mkoani Mbeya sio wa kuchezea kabisa unaambiwa, na kama mikakati yao itakwenda kama wal...

Kuna Bocco wa Azam na wa Simba

3d ago

HEBU tafakari hii kidogo. Matajiri wa Azam wako mbele ya Luninga zao. Channel waliyoweka ni Azam Spor...

Sababu fainali FA Cup kupelekwa Arusha zatajwa

3d ago

TFF imetangaza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup itachezwa Juni 2, 2018 kwenye uwanja w...

MTIBWA SUGAR YATINGA FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  Magoli mawili ya kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga yameipeleka fainali Mtibwa y...

Kocha Stand United alia na uwanja

3d ago

Safari ya Stand United kuwania ubingwa wa Azam Sports Federation Cup imekatishwa na kwenye uwanja wao...

Kocha wa Mtibwa afichua siri ya mafanikio

3d ago

Baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Fed...

Mtibwa yatangulia Arusha

4d ago

Magoli mawili ya kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga yameipeleka fainali Mtibwa ya Aza...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek