"Ninachofahamu ni kuwa bado hatujamuandikia Barua Ole Sendeka,"

By Edwin Moshi, 14w ago

Bunge bado halijamuandikia barua ya kumuita Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ili kujibu tuhuma za kukejeli na kudharau muhimili huo.Katibu wa Bunge Stephen Kigaigai amesema kuwa bado hawajamuandikia barua ya kumwita kufika katika kamati hiyo."Niko katika kikao lakini ninachofahamu kuwa bado hatujamuandikia," amesema Kigaigai.Januari 9 mwaka huu Spika wa Bunge, Job Ndugai aliagiza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumuita na kumhoji Sendeka wakati wa uchunguzi wa kamati hiyo kuhusu tuhuma hizo zilizonukuliwa katika mitandao ya jamii kwa lugha ya Kimasai, Kiswahili na K...

ZINAZOENDANA

SPIKA NDUGAI: MAWAZIRI HAWAZIBWI MDOMO KUMJIBU CAG

3h ago

Ramadhan Hassan, Dodoma Spika wa Bunge Job Ndugai amesema mawaziri hawazibwi midomo kumjibu Mdhibi...

RAIS WA BUNGE LA AFRIKA AKUTANA NA SPIKA NDUGAI PAMOJA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA

6h ago

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (wa...

"Binadamu Asiyekuwa na Akiba ni Waajabu"- Spika

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefunguka na kudai kuna baadhi ya wana...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

2d ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA MJINI DODOMA

3d ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

Waziri Mkuu: Uzalishaji Wa Chakula Nchini Umeimarika

3d ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

Familia yamshangaa Spika taarifa matibabu ya Lissu

3d ago

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, imeeleza kushangazwa na kauli ya Spika...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek