Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Azam FC Usiku wa January 13 2017 walikuwa Zanzibar katika uwanja wa Amaan kutetea taji lao la Mapinduzi Cup kwa kucheza dhidi ya URA ya Uganda. Azam FC wakiongozwa na kocha wao Cioba wamefanikiwa kutetea taji hilo, licha ya kuwa mchezo ulikuwa mgumu na dakika 90 kumalizika […]
Jumuiya ya Zanzibar Yes ALumni Association (ZAYAA) imetoa mafunzo juu ya suala zima la utunzaji wa ma...
Meneja kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akiutambulisha ujumbe wa Madaktari waliofika ofisi ...
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu b...
JAJI mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, amewauliza mahakimukisiwani Pemba, wamezitoa wapi sheria z...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za ponge...
Hospitali na kliniki nyingi nchini zina tatizo la ukosefu wa dawa, vifaa na vitanda hasa katika...
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Haji Hassan amesema jeshi hilo limekusudia kuimarisha madaw...
Michuano ya Vijana chini ya miaka 17 ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), i...