EXCLUSIVE: Dalali mwingine azungumza asema Diamond kapangisha hajanunua mjengo

By Millard Ayo, 4d ago

Baada ya Dalali wa kwanza kusema Diamond Platnumz amenunua mjengo mpya aliopost tena kwa Tsh. Bilioni Moja, Dalali mwingine ameibuka na kuzungumza ukweli na kusema Diamond hajanunua bali amepangisha kwani yeye ndo mtu wa kwanza kuutangaza mjengo ule kwa ajili ya kupangisha. Dalali huyo ambaye jina lake maarufu anaitwa Dalali Kiongozi amesema kuwa nyumba hiyo […]

ZINAZOENDANA

Mwenye uwezo wa kupambana na Diamond ni Alikiba - Edu Boy

9h ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Edu amefunguka undani wa mistari ambayo inapatikana katika ngoma y...

BABU TALE '€œHatuja nunua nyumba, Ugumu upo tutazungumza tukikaa na BASATA

12h ago

Baada ya Story ya mjengo mpya alioupost Diamond Platnumz kushika headlines katika mitandao na hata vi...

Ali Kiba Aibuka Kidedea Tena Amgaragaza Diamond na Wasanii Wengine Kibao

13h ago

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva Ali Kiba ameibuka kidedea kwa kutajwa kama msanii mwenyewe ushawis...

Billnass Ampa Uchebe Dhana za Kupambana na Nuh Mziwanda

17h ago

Msanii Billnas amemzawadia uchebe zawadi ya vifaa vya kufanyia mazoezi huku akimwambia kuwa amefanya ...

Wanaonyoa Kiduku Kusakwa na Polisi,Je hii Itahusu Wasanii.

17h ago

Ilianza kwa kuwafungua wasanii hasa wa kike wanaovaa vibaya ili kulinda maadili ya taifa na wale wote...

Alikiba, Diamond kuwania zaidi ya tuzo tatu Uganda, pia wapo Darassa na Ben Pol

17h ago

Wasanii wa Bongo Flava, Alikiba, Diamond, Darassa na Ben Pol wanatachuana na wasanii wengine wa Afrik...

BABU TALE '€œHatuja nunua nyumba, Ugumu upo tutazungumza tukikaa na BASATA

17h ago

Baada ya Story ya mjengo mpya alioupost Diamond Platnumz kushika headlines katika mitandao na hata vi...

Penzi la Tunda na Diamond Lazidi Kufichuka, Tunda Kuonekana Madale.

18h ago

Hakuna  penzi la siri hata  siku moja na hata kama mtajitahiid kulificha vipi ipo siku itajulik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek