MAJALIWA: NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA

By Jamhuri Media, 14w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Januari 13, 2018) wakati akizungumza katika kikao cha maendeleo ya usambazaji umeme kilichofanyika ...

ZINAZOENDANA

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la...

SPIKA EALA AIPONGEZA TANZANIA KWA MAENDELEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Bunge la  Afrika ya Mashariki wanaoiwakilis...

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

8h ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA

9h ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, M...

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 23,2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu...

MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki,  Mhe.Martin...

Matumaini ya Yanga Kutetea Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara yazidi kuwa Haba

MATUMAINI ya Yanga SC kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara yamezidi kuwa haba baad...

BAADA YA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA KUKAMILIKA (NFRA) ITAKUWA NA UWEZO WA KUHIFADHI TANI 501,000

1d ago

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) Bi Vumilia L. Zikankuba akitoa ta...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek